Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
Pole sana, tafuta mbadala kupunguza uo uraibuHuwa naangalia weekly report ya matumizi ya simu naishia kuumia, sina cha kufanya maana ndio nishakuwa mraibu.
Pole sana, tafuta mbadala kupunguza uo uraibuHuwa naangalia weekly report ya matumizi ya simu naishia kuumia, sina cha kufanya maana ndio nishakuwa mraibu.
Duh !Nina rafiki mmoja mdada, WiFi ikikata kazini anachanganyikiwa kabisa, ataanza kuuliza kwanini hamuweki, kwanini mnasubiri, ikitokea siku hiyo bando lisiwekwe anakuwa mgonjwa kisaikolojia.
Wengi ni waraibu mkuu, hasa wenye kazi zisizotaka kukimbizanaPole sana, tafuta mbadala kupunguza uo uraibu
Wewe kama mlinzi basi hiyo simu itakuharibia kazi, hutakiwi kuchezea simu ukiwa lindo.Unasemaje kuhusu sisi walinzi mkuu...🤔
Ni tatizo kwa kweli !Wengi ni waraibu mkuu, hasa wenye kazi zisizotaka kukimbizana
Hii ni ukweli kabisa!1.una Muda mrefu hujasali ukiamka cha kwanza tu simu kuanza kuishika hata kusema asante Mungu umeacha Siku hizi.
2.unachezea simu hata ikiwa kwenye chaji below 10%
3.ndani ya dakika 5 ushaperuzi jf,insta,fb,Twitter,sportbet,tiktok,YouTube,stripchat.com kuchungulia chungulia
4.kuna siku unapiga punyeto zaidi hata ya bao 3 kwa video zenye maudhui ya ngono
5.hununui bundle siku hizi ni mwendo tu wa WIFI
6.UNA smartphone mbili
7.hata ukiwa unakula unachezea simu