chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Absolutelyactually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao.
muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku.
hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa addict wa mitandao hivyo unapaswa uchukue hatua kwani internet inaweza kuwa addiction kama addiction zingine
walinzi kwasababu mko site muda huu kwaiyo mtandaoni ni pakuzugiaUnasemaje kuhusu sisi walinzi mkuu...🤔
hii ni kweli kabisa....1.una Muda mrefu hujasali ukiamka cha kwanza tu simu kuanza kuishika hata kusema asante Mungu umeacha Siku hizi.
2.unachezea simu hata ikiwa kwenye chaji below 10%
3.ndani ya dakika 5 ushaperuzi jf,insta,fb,Twitter,sportbet,tiktok,YouTube,stripchat.com kuchungulia chungulia
4.kuna siku unapiga punyeto zaidi hata ya bao 3 kwa video zenye maudhui ya ngono
5.hununui bundle siku hizi ni mwendo tu wa WIFI
6.UNA smartphone mbili
7.hata ukiwa unakula unachezea simu
kitu chochote ukizidisha kinakua utumwaMaisha mafupi....fanya kile unaona kinakupa furaha
Kama sikondi na nimeupokea vema uraibu huo basi alhamdulillah!🫸🫷actually kama upo online na una peruzi muda huu, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mraibu wa mitandao.
muda kama huu kwa watu wengi inapaswa uwe umelala, au uwe mbali na simu, labda tu kwa wale wanaofanya kazi zao mida ya usiku.
hivyo ukijikuta upo online muda huu ni dalili moja ya kuwa addict wa mitandao hivyo unapaswa uchukue hatua kwani internet inaweza kuwa addiction kama addiction zingine
huyu jamaa mbona kama ndo huyohuyo wa kwenye dp mkuuHapa nimelala kwa bibi ya 3, bibi yangu ameamka nashangaa anawasha sim badala ya kuwasha moto...😒View attachment 3581189
Hili kwa kweli ni changamoto sana hata kwangu nagombezwa shauri ya hili! Kujitafakari sana1.una Muda mrefu hujasali ukiamka cha kwanza tu simu kuanza kuishika hata kusema asante Mungu umeacha Siku hizi
Nina rafiki mmoja mdada, WiFi ikikata kazini anachanganyikiwa kabisa, ataanza kuuliza kwanini hamuweki, kwanini mnasubiri, ikitokea siku hiyo bando lisiwekwe anakuwa mgonjwa kisaikolojia.Screen time.
Notification yoyote lazima uvute simu.
Ukiamka tu cha kwanza simu.
Ukiishiwa Bando unachanganyikiwa.