Ikifikia hatua gani utajigundua kua wewe ni mraibu wa mitandao?

Kama haufanyi biashara mtandaoni au kazi zako hazina ulazima wa kutumia data au internet inakubidi kila wiki uwe offline siku mbili na nusu.. at least kwa mwezi uwe ofline siku kumi.. hapo ni haukosi pesa ya data kila siku

Ikiwa pesa ya data inakupiga chenga pia unabidi ujiwekee misingi imara hata siku ukikosa data kichwa chako kisiwe na pressure yeyote
 
Hii ni ukweli kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…