Ikigundulika Freeman Mbowe ndio yupo nyuma ya kesi zote na maovu yote dhidi ya CHADEMA itakuaje?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?

Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?

Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?

Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?

Nawaza🤔

2023-03-08 18_49_54_Fqs9wHJaMAAWjr2 (1).jpeg

Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.

Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
 
Nimekuwa nikisema humu mara nyingi, ni hatari sana mtu kukaa kwenye cheo cha kuchaguliwa zaidi ya miaka kumi, maana anajigeuza yeye ndio taasisi, na siku akitoka ni rahisi kufanya hujuma ili kuonyesha bila yeye hiyo taasisi haiwezi kusogea.
 
Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?

Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?

Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?

Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?

Nawaza🤔

View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.

Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
Sio ikigundulika ni yeye ndie yupo nyuma ya hiyo michezo yote, yaani jamaa chama alikifanya kama kitega uchumi chake sasa alietegemea kwendelea kuvuna, akaja kushituka wenye uchungu na Nchi Yao washampindua.
Huyo mpaka wachagga wenzie walimkataa wakabaki na Chama, can emegine!!! Na hapo ndio niliona kweli wachagga wanaakili.
 
Nimekuwa nikisema humu mara nyingi, ni hatari sana mtu kukaa kwenye cheo cha kuchaguliwa zaidi ya miaka kumi, maana anajigeuza yeye ndio taasisi, na siku akitoka ni rahisi kufanya hujuma ili kuonyesha bila yeye hiyo taasisi haiwezi kusogea.
Ndicho anachokifanya mbowe sasa hivi.
 
Mi ningeshauri avuliwe uanachama km ndiyo ushenzi huo anaoufanya.
 
Back
Top Bottom