Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?