Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Kabisa. Na rasmi ule ujinga wa cdm kuwa ni chama cha wachanga umeisha, mara sijui cdm bila Mbowe viongozi wengine watanunuliwa umefikia mwisho.Ndicho anachokifanya mbowe sasa hivi.

Acha umbea, jenga chama chakoIkigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
Hii sidhani kama unaweza? Utaweza?KUMPUMULIA KWA NYUMBA TU
Vipi mkuu, CHAUMA mnaendeleaje?Acha umbea, jenga chama chako
Propaganda ya CCM imefia hapoKabisa. Na rasmi ule ujinga wa cdm kuwa ni chama cha wachanga umeisha, mara sijui cdm bila Mbowe viongozi wengine watanunuliwa umefikia mwisho.
Vitendo vya Mbowe baada ya uchaguzi tu ni ishata tosha kuwa kwa namna moja ama nyingine ni mhusika:Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
Kalamu itamhusu tu,hakuna namnaIkigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
Kwa hakika Mbowe anawatesa sanaTutamsomea dua mbaya
mbowe anaonekana pamoja na changamoto zake ila ni mtu wa mipango na mikakati sana.Kitendo cha Mbowe kutohudhuria kesi za chama na hata kutotoa tamko lolote kwa matukio ya October 29 ni kaburi tosha la kisiasa alilojichimbia mwenyewe licha ya jina alilotumia miaka 20+ kulijenga kaliharibu mwenyewe.
Mbowe kama mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa mkutano mkuu wa kudumu ni kitu cha ajabu unaruka kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wako hapo Dar es Salaam halafu unaenda kupiga picha na Samia kule Dodoma.
Si ajabu Mbowe tuliona anaanza kuporomoka kisiasa kwa kuangalia waliokua wanamzunguka kama washauri wake akina Yericko Nyerere , Kigaila na wengine vitu wanavyofanya unashangaa maana ni vya ajabu sana.
Hakuna mtu aliyejihisi hapa na hatuzungumzii hapa mambo ya hisia.mbowe anaonekana pamoja na changamoto zake ila ni mtu wa mipango na mikakati sana.
fikiria mtu yupo so cool so silent lakini waja mnahisi kuwa affected na ushawishi hata katika ukimya wake.
nikiwa mkubwa nataka kuwa kama freeman mbowe, mjenzi wa demokrasia na maridhiano duniani
Ifike mda mjifunze mlipokosea. mnaongea sana bila vitendo kumbebesha mtu mwengine lawama na kutojifunza ulipokosea haufiki popote.Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa nnorbitiaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
mkuu in your capacity mtafute yeye mwenyewe kisha muulize hayo maswali yakoHakuna mtu aliyejihisi hapa na hatuzungumzii hapa mambo ya hisia.
Mbowe ni mjumbe wa mkutano mkuu na mwenyekiti mstaafu hana sababu yoyote ya msingi kuskip kesi za mwenyekiti halafu anaenda Dodoma kupiga picha na Samia
Uchaguzi Tanzania mwaka 2025 ulikuwepo mmoja tu na ni wa CHADEMA, walionyesha maana ya uwazi na demokrasia maana Mbowe alishindwa kwa uwazi kabisa zoezi lilikua live kuanzia kampeni ,kupiga kura hadi kuhesabu na alikubali matokeo sasa sababu ya kujificha katika shughuli za chama ni ipi?
Mbowe ni member wa JF michango yetu anaisoma humu, sina haja ya kumtafuta maana michango kadhaa tuliyoitoa humu miaka ya nyuma ilifanyiwa kazi bila hata ya kumtafuta.mkuu in your capacity mtafute yeye mwenyewe kisha muulize hayo maswali yako
siamini kama hizi threads za Jf zinaweza kutupa majibu ya sababu za yeye kuamua kukaa nje ya uwanja
Kwani kafa? Kama hajafa atasemwa tu. Kama anataka kusifia ajifishenyie Jamaa bado munateseka na Mbowe?
Ila chadema kwl hakuna mwenye akili, ni nyumbu zero brain, we tuambie wakati Mbowe akiwa gerezani nani alikuwa nyuma ya ile kesi? Huyo mpumbavu wenu wa kinyaturu afanye upumbavu wake tena hadharani leo mkamwaze mzee wa watu? Hv huku JF hakuna cha maana mnaweza kuandika? JF ya GREAT THINKERS imeenda wapi?Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
Eti na wewe unajiona shujaa.. Unakuja kutukana watu mitandaoni.. Tulia uzoe Jamiiforums kabla hujakirupukachadema kwl hakuna mwenye akili, ni nyumbu zero brain
Hakuamua kukaa pembeni, ni raia walimpumzisha kwa nguvu kupitia sanduku la kura.Binafsi sitashangaa ni wazi alishaamua kukaa pembeni na lolote baya linalotokea inaweza kuwa ni furaha kwake