figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Furaha si kutendaBinafsi sitashangaa ni wazi alishaamua kukaa pembeni na lolote baya linalotokea inaweza kuwa ni furaha kwake
Oya hizo penseli au nini rangi?Kama aliweza kuwafanyia Yote haya na huku akijua kila kilichopangwa na wa kule alikoenda Msigwa.
Hakuna la kumfanya Afisa Bobevu.
View attachment 3604215
Tuseme ndo imegundulika.. Wewe utafanyaje?Tusubiri mpaka igundulike
Mkuu, umeongea ukweli wako kutoka moyoniMbowe ana Roho mbaya sana!!!
Sana tu, baada ya kukosa uenyekiti akaamua bora tukose wote.Mbowe ana Roho mbaya sana!!!
Sio ikigundulika ni yeye ndie yupo nyuma ya hiyo michezo yote, yaani jamaa chama alikifanya kama kitega uchumi chake sasa alietegemea kwendelea kuvuna, akaja kushituka wenye uchungu na Nchi Yao washampindua.Ikigundulika Freeman Mbowe yupo nyuma ya kesi dhidi ya CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndiye anatamani kuona CHADEMA haitawaliki au umeshindwa, itakuaje?
Ikigundulika wanafurahia kesi zote zinazoendelea kwa makada wa CHADEMA itakuaje?
Ikigundulika ndo aliyemuwezesha Mchome kwenda kuishati chadema kwa Msajili itakuaje?
Nawaza🤔
View attachment 3604219
Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Maridhiano kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyeikabidhi kwa niaba ya Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) mara baada ya kuwahutubia kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023.
Kwanini tuzo haikutolewa na Kiongozi wa BAWACHA? Je, ni kweli Mbowe tuzo alikuja nayo Mfukoni?
Ndicho anachokifanya mbowe sasa hivi.Nimekuwa nikisema humu mara nyingi, ni hatari sana mtu kukaa kwenye cheo cha kuchaguliwa zaidi ya miaka kumi, maana anajigeuza yeye ndio taasisi, na siku akitoka ni rahisi kufanya hujuma ili kuonyesha bila yeye hiyo taasisi haiwezi kusogea.