Ikigundulika Freeman Mbowe ndio yupo nyuma ya kesi zote na maovu yote dhidi ya CHADEMA itakuaje?

Acha umbea, jenga chama chako
 
Ila chadema kumpa Samia hiyo tuzo ilikuwa bonge moja la idea ya kipumbavu mno, chadema cjui hua wana matatizo gn ya akili
 
Vitendo vya Mbowe baada ya uchaguzi tu ni ishata tosha kuwa kwa namna moja ama nyingine ni mhusika:
1. Kitendo cha kushindwa kuvunja kambi yake baada ya u haguzi
2. Kitendo cha kutolikemea kundi lake baada ya uchaguzi kuendelea kuibagaza hadema
E. Kitendo cha kujitenga wakati wote wa mateso ya chadema
 
Kalamu itamhusu tu,hakuna namna
 
Kitendo cha Mbowe kutohudhuria kesi za chama na hata kutotoa tamko lolote kwa matukio ya October 29 ni kaburi tosha la kisiasa alilojichimbia mwenyewe licha ya jina alilotumia miaka 20+ kulijenga kaliharibu mwenyewe.

Mbowe kama mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa mkutano mkuu wa kudumu ni kitu cha ajabu unaruka kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wako hapo Dar es Salaam halafu unaenda kupiga picha na Samia kule Dodoma.

Si ajabu Mbowe tuliona anaanza kuporomoka kisiasa kwa kuangalia waliokua wanamzunguka kama washauri wake akina Yericko Nyerere , Kigaila na wengine vitu wanavyofanya unashangaa maana ni vya ajabu sana.
 
mbowe anaonekana pamoja na changamoto zake ila ni mtu wa mipango na mikakati sana.
fikiria mtu yupo so cool so silent lakini waja mnahisi kuwa affected na ushawishi hata katika ukimya wake.
nikiwa mkubwa nataka kuwa kama freeman mbowe, mjenzi wa demokrasia na maridhiano duniani
 
Hakuna mtu aliyejihisi hapa na hatuzungumzii hapa mambo ya hisia.

Mbowe ni mjumbe wa mkutano mkuu na mwenyekiti mstaafu hana sababu yoyote ya msingi kuskip kesi za mwenyekiti halafu anaenda Dodoma kupiga picha na Samia

Uchaguzi Tanzania mwaka 2025 ulikuwepo mmoja tu na ni wa CHADEMA, walionyesha maana ya uwazi na demokrasia maana Mbowe alishindwa kwa uwazi kabisa zoezi lilikua live kuanzia kampeni ,kupiga kura hadi kuhesabu na alikubali matokeo sasa sababu ya kujificha katika shughuli za chama ni ipi?
 
Ifike mda mjifunze mlipokosea. mnaongea sana bila vitendo kumbebesha mtu mwengine lawama na kutojifunza ulipokosea haufiki popote.
Kumbuka nsi
 
mkuu in your capacity mtafute yeye mwenyewe kisha muulize hayo maswali yako
siamini kama hizi threads za Jf zinaweza kutupa majibu ya sababu za yeye kuamua kukaa nje ya uwanja
 
mkuu in your capacity mtafute yeye mwenyewe kisha muulize hayo maswali yako
siamini kama hizi threads za Jf zinaweza kutupa majibu ya sababu za yeye kuamua kukaa nje ya uwanja
Mbowe ni member wa JF michango yetu anaisoma humu, sina haja ya kumtafuta maana michango kadhaa tuliyoitoa humu miaka ya nyuma ilifanyiwa kazi bila hata ya kumtafuta.
 
Ila chadema kwl hakuna mwenye akili, ni nyumbu zero brain, we tuambie wakati Mbowe akiwa gerezani nani alikuwa nyuma ya ile kesi? Huyo mpumbavu wenu wa kinyaturu afanye upumbavu wake tena hadharani leo mkamwaze mzee wa watu? Hv huku JF hakuna cha maana mnaweza kuandika? JF ya GREAT THINKERS imeenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…