Ikigundulika Freeman Mbowe ndio yupo nyuma ya kesi zote na maovu yote dhidi ya CHADEMA itakuaje?

Chadema isitawalike kwa lipi! Chadema ni chama kikubwa. CCM na serikali yake walisema chama kimekufa lakini kila siku kupambana na maiti ya Chadema. Chadema ni level ingine hakuna wa kuifanya isitawalike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…