Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

Isipompendeza je? Watanzania Bado wajinga wengi. Unalipa Kodi unamwandikia individual politician et "ikikupendeza" kwa hiyo siku hizi nchi inajengwa kwa mtu ikimpendeza? Kwanini usiiambie serikali ijenge SGR na si huyo uliyemtaja. Uhalali wa serikali ni wananchi
You will never get it right...still an amateur
 
Bandari ya Tanga can serve mizigo ya kilimanjaro, Arusha, Manyara provably na Some part of Singida etc....mbege ni sehemu ndogo ya mizigo bro...grow up uache ujinga!
Muda mwingine utani kidogo.Siyo Kila muda ni seriously tu
 
Tatizo huko mizigo hakuna.Tanga ,Arusha na Kilimanjaro mizigo Yao kuu ni mbege.Sasa Sgr wabebe mbege?
Morogoro Kuna biashara kubwa sana na uhitaji wa bidhaa na mizigo kuliko Arusha?
 
WAtanzania bana, mbona mnamkuza Rais kama malkia? Ikimpendeza nini? We toa hoja kama zina mashiko wizara itazibeba kwa kufuata kanuni na sheria basi utapata hicho unachokiomba.
 
Tatizo huko mizigo hakuna.Tanga ,Arusha na Kilimanjaro mizigo Yao kuu ni mbege.Sasa Sgr wabebe mbege?
Tangu enzi za enzi usafiri wa Train ya Abiria na.Mizugo ilikuwepo kaskazini uliza hata wazee wa 1950's watakuambia.Mabaus na Malori ndio yalififisha reli hiyo,kama isengukuwa na umuhimu mkoloni asingeiweka.
 
Kwaiyo Ipite Kenya?
Kuna mradi uliwahi kusainiwa ijengwe reli kutoka mandarin ya Tanga eneo la mwambani hadi Musoma kupitia Arusha, then Musoma mizigo inachukuliwa na ferry katika ziwa Victoria kwenda Uganda...
 
Kuna mradi uliwahi kusainiwa ijengwe reli kutoka mandarin ya Tanga eneo la mwambani hadi Musoma kupitia Arusha, then Musoma mizigo inachukuliwa na ferry katika ziwa Victoria kwenda Uganda...
Kwa Sasa tayari Kuna reli inafika mwanza
 
Back
Top Bottom