HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku
Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Watu wa DCEA wanajua kuwa bado Tanzania (na hasa humu Mitandaoni) kuna Watu wana Ugonjwa wa Akili pia?Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku
Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
Inasikitisha sanaUongozi ushakuwa kama ushereheshaji sasa kiasi kwamba kigezo kikuu ni ubunifu wa burudani katika mkoa?
It is within their full rights kwa wazungu kutumithilisha na nyani.
Hivi hizo bunifu za kukurupuka za huyo Bashite aka makonda zina lasting impacts? Au hilo swali si muhimu kwa sasa?Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku
Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
Balozi wa Marekani alisema’”we should stop be delusional thinkers”.Hivi Watu wa DCEA wanajua kuwa bado Tanzania (na hasa humu Mitandaoni) kuna Watu wana Ugonjwa wa Akili pia?
Acha dharau mkuuMwanza apelekwe Qween Sendiga
Yule ni mzuri kuliko wakuu wa mikoa wengine wote ukimtoa makondaAcha dharau mkuu
Hivi mwaonaga Makonda anapiga kazi kuliko ma Rc tz hii , acheni ujua , kuna ma Rc ni wa moto japo mambo yao sio ya kutaka maonesho , unamfaham Rc Mtaka , moja ya mfano tu , na hutosikia kelele , japo akiwa Dodoma alifanya jambo gum la kuamisha miradi ambayo ilikua ielekezwe Nala ,lugala , Mbalawala , wenda alikosa ushauri but the man is very smart .Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku
Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
Mwanza labda kwa ajili ya ku-mobilise kura za ukanda wa ziwa. Mtanda kwa kweli mimi sifurahii uwepo wake Mwanza. Hakuna hamasa yoyote ya maendeleo. Amos Makala na jamaa aliyehamishiwa Moro, Mr. Malima, walileta matumaini.
Mtanda nadhani level yake ni wilaya na mikoa ambayo haina nguvu kiuchumi.
Kama sio hivyo, yule dogo wa Simiyu, ana chemistry sana na anaowaongoza.
Tatizo la Mwanza, akija mkuu wa Mkoa mazuri, hakai.
Huoni promotion ya utalii wa ziwa, utalii wa mbuga za wanyama, Mkoa hautengi visiwa kwa ajili ya hotel za kitalii, tangu Nyerere afanye kisiwa cha saa nane, miaka hiyo, no effort.
Mtanda apelekwe kwao huko kusini, hawanaga haraka na maendeleo.
Mwanza, kama ni mpira, ndio kiungo mchezeshaji wa kanda ya ziwa.
May be kwa kuwa alikuwa Katibu wa Mzee Makamba enzi akiwa Katibu Mkuu CCM, na yeye kapata wenge BCBG kuona mama amewachekecha wanafudenge.
Kuna tamasha la Bujora la mila za kisukuma, huoni nguvu ya mkoa, basi itisha tamasha la mitumbwi, kama makonda kaitisha la Land Rover
Machawa wapo na mihemuko sana , ukiona hivi jua sio kwa bahati mbaya , wenda ccm wanaangalia namna ya kuongeza kura japo hata watumie vifaru kura za ccm 2025 hazitatosha , huu ndo ukweli kama uchaguzi ukifanyika.Kwa nini ahamishiwe Mwanza. Kwani RC Mtanda hafai kuwa Mwanza. Wananchi wa Mwanza hatumtaki RC mzawa.
Wanamtaka kolomije wao.Hivi Watu wa DCEA wanajua kuwa bado Tanzania (na hasa humu Mitandaoni) kuna Watu wana Ugonjwa wa Akili pia?
Hatujakuzuia kuwaza AI, na wewe usitupangie cha kuwazaYaani bongo ndio kwanza tunawaza matamasha kama kichocheo cha maendeleo. Tuna kazi ngumu sana kuyafikia maendeleo ya kweli. Yaani dunia hii inayokimbizana na sayansi na teknolojia, watu wanafukuzana na AI na nano-technology, sisi bado tunawaza matamasha ya mitumbwi na baiskeli. Bado tunaona kama kufanya festival ya Land Rover ni issue kubwa sana, wenzetu ile ni burudani tu baada ya kazi, watu wanaenda kula bata.