Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope.
Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.
Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.