Ikipendeza klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope.

Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.
 
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
 
Na wewe hao ofisini akitokea mtu akasema wakupe mkono wa kwakheri, inamuendea kwa mganga kwa kasi sana
 
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope.

Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.
Ni uonevu mkubwa sana kumhukumu golikipa ambaye hapati muda mwingi wa kucheza kama ilivyo kwa magolikipa wengine wa kikosi cha kwanza.

So binafsi siungi mkono hoja.
 
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
Unaisemea man united ama aseno? Mbona kashacheza hadi robo fainali?
 
1741861250564.png
 
Ni uonevu mkubwa sana kumhukumu golikipa ambaye hapati muda mwingi wa kucheza kama ilivyo kwa magolikipa wengine wa kikosi cha kwanza.

So binafsi siungi mkono hoja.
Yule dogo hata ukimwangalia huwa hayuko serious,hata game ilivyokuwa inaendelea yani huoni ile amsha amsha ya golikeeper,ukiangalia alivyoruka hata hakunyoosha mikono! Pale yanga kuna wachezaji wazawa wameridhika sana na wanabebwa kwa sababu walitufaa kipindi kigumu na pia huruma ya hersi ila inatakiwa wabadilike
1.mshery
2.nkane
3.mwamnyeto
4.kibwana(huyu kidogo anajituma)
5.farid
 
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope.

Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.
Hivi ule Mpira uliangalia vizuri ulivyokuwa unaelekea golini? Wala usimlaumu mshery karudie kuangalia upya ule Mpira ulikatika na kumpoteza kipa maboya tofauti na hesabu zake,,kwa Mpira ule kipa yeyote anafungwa kwakuwa ulibadili uelekeo ghafla!
 
Yule dogo hata ukimwangalia huwa hayuko serious,hata game ilivyokuwa inaendelea yani huoni ile amsha amsha ya golikeeper,ukiangalia alivyoruka hata hakunyoosha mikono! Pale yanga kuna wachezaji wazawa wameridhika sana na wanabebwa kwa sababu walitufaa kipindi kigumu na pia huruma ya hersi ila inatakiwa wabadilike
1.mshery
2.nkane
3.mwamnyeto
4.kibwana(huyu kidogo anajituma)
5.farid
Kwa Kibwana na Nkane ni big no hao wakukipata nafasi waga wanajituma sana rejea mwishoni mwa kipindi cha Gamondi kwa Nkane na Ramovic kwa Kibwana..
Hata Mwamnyeto yuko sawa sema anagombea namba na watu wanaomzidi maarifa ya kiuchezaji uwanjani..
 
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope.

Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.
Hapana huyu dogo ni kipa mzuri, sio sahihi kila mtu anapokosea afukuzwe. Hata hivyo nadhani amepoteza kujiamini baada ya kukaa benchi muda mrefu. Kijana atiwe moyo. Mimi ningemshauri aondoke Yanga akaendeleze kipaji chake timu nyingine.
 
Mshery ni bonge la nyanda, akipata nafasi ya kucheza, tuuze Diara club ipate pesa, dogo Mshery ( aka mdaka mabomu) aibebe timu.....au ndugu zangu Uto nakosea?.
 
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope.

Huyu kipa hana kiwango. Ni vema Klabu ikaachana naye.
Umbali unazidi ule aliodunguliwa Diarra na jamaa KENGOLD au umeamua kujichetua tu
 
Kama ni hivyo, sasa wote siwanafungwa magoli ya hivyo? Wote wapewe mkono wa kwaheri?
 
Back
Top Bottom