GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe unajua nn na kingereza chako Cha ugoko unajikuta mzungu kumbe anakuona kama nyani?Did you know anything about Dp World before the rise of this Bullshit Contract?
I only know that all of you who are Opposing them ( it ) are just Certified Popomas.Did you know anything about Dp World before the rise of this Bullshit Contract?
Nimecheka mno Mkuu. Eti ana Kiingereza cha Ugoko. JamiiForums raha sana hakyanani.Wewe unajua nn na kingereza chako Cha ugoko unajikuta mzungu kumbe anakuja kama nyani?
Umeanza kufuatilia juzi hata mkataba hauna unachojua kelele kibao.
Wacha waende tu1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna )
2. Ajira hakuna
3. Rais Samia hafai
4. Uchumi wa nchi Unaanguka
5. CCM haifai
6. Hatuvutii Uwekezaji
7. Nchi inachelewa Kimaendeleo
Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya Kipuuzi dhidi ya Uwekezaji Wao nchini na Kuhamia nchini Kenya ajue atakachoambulia kutoka Kwangu ni Kofi Tukuka au Ngumi Takatifu.
Mama anawapenda na mnazingua.
Show us your previous threads that you wrote in the previous years about DP WORLD..I only know that all of you who are Opposing them ( it ) are just Certified Popomas.
Tunahitaji asali ya nyuki sio stingsTatizo lipo kwenye mkataba/makubaliano sio uwekezaji wao. Ni kweli tunawahitaji sana DPW.
The only thread I can dare to show you is the one which I actually deeply explained how damn Fool you're.Show us your previous threads that you wrote in the previous years about DP WORLD..
Mbona unahasira kama muuza nyabe?Wewe unajua nn na kingereza chako Cha ugoko unajikuta mzungu kumbe anakuona kama nyani?
Umeanza kufuatilia juzi hata mkataba hauna unachojua kelele kibao.
Hamna point kelele nyingi ,mbona mama ako anauza nyabe?Mbona unahasira kama muuza nyabe?
kama vp mkuu leta fasta fasta maana wengine atujui sheria mkuuKuna vipengele vichache vya mkataba wa DP world vikivadilishwa mambo yatakua poa sana