Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

Ni pale maji yanashukuru na kuona yamependwa sana kwa ng'ombe kuweza kuyanywa na sio ng'ombe kushukuru maji uwepo wa maji kwa uhai wake....

Nchi za Africa zina matatizo sana (hizi desperation ndio zinashusha value yao na mwisho wa siku wana-negotiate at a disadvantage)
 
Waende tu, wafilipino wapo watawekeza kwa kipindi maalum
 
Mwezi ujao Mkataba unasainiwa mbele ya TV
 
Halafu wewe dogo akili huna unapenda kurukia mambo usiyoyajua

Hao dp world ni matapeli na wahuni

Wanasiasa kina kikwete na rostam ndio wanataka kutumia jina la dp world kufanya ufisadi
 
1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna )

2. Ajira hakuna

3. Rais Samia hafai

4. Uchumi wa nchi Unaanguka

5. CCM haifai

6. Hatuvutii Uwekezaji

7. Nchi inachelewa Kimaendeleo

Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya Kipuuzi dhidi ya Uwekezaji Wao nchini na Kuhamia nchini Kenya ajue atakachoambulia kutoka Kwangu ni Kofi Tukuka au Ngumi Takatifu.

Mama anawapenda na mnazingua.
Kwanini sisi tumekataa uwekezaji au tumekataa vipengelela vya mkataba?
 
Back
Top Bottom