Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
CCM inafanya Kila namna iuze nchi sio?Hamna point kelele nyingi ,mbona mama ako anauza nyabe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM inafanya Kila namna iuze nchi sio?Hamna point kelele nyingi ,mbona mama ako anauza nyabe?
Kwanini sisi tumekataa uwekezaji au tumekataa vipengelela vya mkataba?1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna )
2. Ajira hakuna
3. Rais Samia hafai
4. Uchumi wa nchi Unaanguka
5. CCM haifai
6. Hatuvutii Uwekezaji
7. Nchi inachelewa Kimaendeleo
Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya Kipuuzi dhidi ya Uwekezaji Wao nchini na Kuhamia nchini Kenya ajue atakachoambulia kutoka Kwangu ni Kofi Tukuka au Ngumi Takatifu.
Mama anawapenda na mnazingua.