Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Sep 27, 2024 #161 Football said: Endelea kunifuatilia Mimi 46 milion kwenye account now Click to expand... Hata huu muda wa kuja kutamba huku usingeupata, hivi sasa ungekua umejawa na uogo au kupagawa na stareh maana hizo ndo akili zenu watu wa Mikeka.
Football said: Endelea kunifuatilia Mimi 46 milion kwenye account now Click to expand... Hata huu muda wa kuja kutamba huku usingeupata, hivi sasa ungekua umejawa na uogo au kupagawa na stareh maana hizo ndo akili zenu watu wa Mikeka.
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Sep 27, 2024 #162 Mvinyo mpya said: Usimchukulie poa Click to expand... Ni mtu mzito eeh...
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,052 Reaction score 2,866 Sep 27, 2024 #163 Hopelesssinner said: Ni mtu mzito eeh... Click to expand... Mi naamini kala, ila cha kushangaza ile milioni kumi ya kibubu anaonesha ila ya mkeka anakula kona. Inashangaza.
Hopelesssinner said: Ni mtu mzito eeh... Click to expand... Mi naamini kala, ila cha kushangaza ile milioni kumi ya kibubu anaonesha ila ya mkeka anakula kona. Inashangaza.
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Sep 27, 2024 #164 Mvinyo mpya said: Mi naamini kala, ila cha kushangaza ile milioni kumi ya kibubu anaonesha ila ya mkeka anakula kona. Inashangaza. Click to expand... Huyu ni maskini kama maskin wengine wakongwe.
Mvinyo mpya said: Mi naamini kala, ila cha kushangaza ile milioni kumi ya kibubu anaonesha ila ya mkeka anakula kona. Inashangaza. Click to expand... Huyu ni maskini kama maskin wengine wakongwe.
Bueno JF-Expert Member Joined Sep 9, 2022 Posts 4,114 Reaction score 6,449 Sep 28, 2024 #165 Kalpana said: Pole sana... Click to expand... Azam wajinga sana
Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,664 Reaction score 2,810 Sep 28, 2024 #166 Chai hii kama unabisha leta bet slip