Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Ukweli kabisa...husdah ni mbaya sana! Watu kila siku wanapunwa halafu wewe unakuja kuwatangazia kuwa unaenda kula pesa ndefu..Lazima wakuhusudu tu na utashangaa mambo yanavyokwenda kinyume naa vile ulivyokuwa ukitarajia
wacheze uingereza eti husda za mmasai wa nanja zisababishe matokeo tofauti?
 
Si ndio hapo kama mkeka kulose unalose tu hata usipotangaza hamna habari hizo
yes maana kuna watu wameweka hela arsenal ashinde, kuna watu city ashinde na kuna watu wanataka draw. na kila mtu anapiga maombi matokeo yake yatimie
 
Hapo ndio umuhimu wa kitu fecha cashout unapoonekana.
Mimi ikibakia timu moja huwa naungalia mkeka dakika zote kama mgongwa wa uangalizi maalum.

Mhindi akileta bei yenye maslahi nafanya naye biashara halafu nabeti tena.
 
Kawaida tu mkuu ndio betting
 
Back
Top Bottom