Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Mleta mada kama ulikuwa uansikia kuna presha za kupanda na kushuka naamini sasa hivi unazielewa vizuri
 
Kila la kheri japo defensive ya the gunners sio ya mchezo hata kidogo
 
Katika kitu nimejifunza kwenye betting kama una mkeka wako hukushare halafu unakaribia kutick we kaa zako kimya mpaka utick. Yaani ukishare tuu good news imekula kwako binadamu sio watu wazuri kabisa
Arteta sio mtu mzuri
 
Back
Top Bottom