Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

chuma cha pili...Mhindi haliwi kirahisi ivo
Itakuwa mhindi keshauchungulia mkeka wa huyu mwamba na fasta karuka na ungo hivi sasa mhindi yuko golini kwa Arsenal kuondoa taka taka zote!

Dawa ni mwamba nae kucheki na bibi yake fasta waruke nawao
wakatue huko huko uwanjani. Jino kwa jino!! Bampa to bampa!!

Hapa nikicheki kwenye bakuli la maji naona kuna goli nne za city japo mhindi anazipangua moja baada ya ingine! Mkeka umetiki kwa kanjibhai!
 
Back
Top Bottom