Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Duh kweli mpira hautabiriki, dakika za nyongeza Man city wanasawazisha hapa na dakika mbili baadae wanapata chuma cha tatu. Dakika za jioooooni Man City inamfurahisha mleta uzi. Man city 3 Arsenal 2. Mechi imeisha, mleta uzi kachukue milioni 50 yako. Hongera sana haikuwa rahisi aisee.
 
Kosa lako kubwa ni kutangaza mafanikio kabla. Ujue kuna nguvu ya silence.
 
Una maana gan kuandika haya
 
Katika kitu nimejifunza kwenye betting kama una mkeka wako hukushare halafu unakaribia kutick we kaa zako kimya mpaka utick. Yaani ukishare tuu good news imekula kwako binadamu sio watu wazuri kabisa
The envy is real...sio mkeka tu hata kwenye mishe za kawaida ukiwa na dili la pesa usitangaze ovyoovyo kwa watu. Hakuna kitu kinaumiza kama kijicho /evil eye.

Kijicho kinaukausha mmea uliostawi na kuabadilika kunyauka kabisa
 
Yaani muhindi unaye weza kuula ni ule wa kuchemsha au wakuchoma ,ila muhindi huyu wa betting kumla ni kazi sana.

Arsenal leo wasingekuwa pungufu na hii nidhamu waliyo ionesha kwenye kukaba walikuwa wanashinda.
 
The envy is real...sio mkeka tu hata kwenye mishe za kawaida ukiwa na dili la pesa usitangaze ovyoovyo kwa watu. Hakuna kitu kinaumiza kama kijicho /evil eye.

Kijicho kinaukausha mmea uliostawi na kuabadilika kunyauka kabisa
Kabisa mkuu yaani usitangaze kabisa ni bora watu waone matokeo tayari. Halafu sometimes unayemwambia anaweza kuwa hajui kama ana negative forces towards you na wengine makusudi kabisa anakufanyia roho mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…