Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana jamii forum wenzangu treni langu linaisha Leo mechi ya mancity na arsenal
Umeweka stake ya ngapi mkuu
 
Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana jamii forum wenzangu treni langu linaisha Leo mechi ya mancity na arsenal
Hushindi ushatangaza 😂😂
 
Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana jamii forum wenzangu treni langu linaisha Leo mechi ya mancity na arsenal
Mkeka upo wapi?
 
Igwe igwe nafanya maombi makali ase mkuu vipi namba ya muamala ukishinda nakutumia PM hata aftatu nitashukuru!
😁😁
 
Back
Top Bottom