Mkuu mechi za ligi kuu na mashindano yote ya ndani wanaruhusiwa kucheza. Pia ITC zilishafika ila nje ya muda. Zilifika tar16 August wakati deadline ya CAF ilikuwa tar15 AugustNaomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!??
Nawasilisha
Sikia wewe, mechi za ndani wanacheza kama kawaida, ITC haihusu mechi za ndaniNaomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!??
Nawasilisha
Djuma huyuhuyu ambae akiwa na AS Vita akapigwa hukohuko kwao na Simba au huyu aliyepigwa na Kapumbu juzi hapa.Wachezaji wote wa Yanga Wana ITC Ila zilifika Kwa kuchelewa.
Simba punguzeni kumuogopa Djuma
Sijapata picha Tuisila angebaki na kucheza upande mmoja na hiki kiberenge kinachoitwa Djuma Shabani!!Wachezaji wote wa Yanga Wana ITC Ila zilifika Kwa kuchelewa.
Simba punguzeni kumuogopa Djuma
Juma Pancha huyu Kilaza wa As Vita ndo Simba wamuongope!.Wachezaji wote wa Yanga Wana ITC Ila zilifika Kwa kuchelewa.
Simba punguzeni kumuogopa Djuma
Djuma huyuhuyu ambae akiwa na AS Vita akapigwa hukohuko kwao na Simba au huyu aliyepigwa na Kapumbu juzi hapa.
Wale wa AS Vita and the likes wakiacha mchezaji ujue kwisha habari yake.
Yani wangebeba medali zote Olympic marathonSijapata picha Tuisila angebaki na kucheza upande mmoja na hiki kiberenge kinachoitwa Djuma Shabani!!
Wachezaji wote wa Yanga Wana ITC Ila zilifika Kwa kuchelewa.
Simba punguzeni kumuogopa Djuma
halafu Chana na Nickson wakabaki kucheza na Sacko na KanouteSijapata picha Tuisila angebaki na kucheza upande mmoja na hiki kiberenge kinachoitwa Djuma Shabani!!
Nickson ndio Nani tenaaaaaa jamaniiiiiiii!!!??halafu Chana na Nickson wakabaki kucheza na Sacko na Kanoute
π€£π€£π π π π€£Yani wangebeba medali zote Olympic marathon
Ndo sasa Tuisila hayupo, kwa hiyo hakuna picha. Timu inatakiwa kucheza as a whole, sio kumtegemea Djuma apandishe mashambulizi halafu aache madhara huku nyuma anakotoka. Usifikiri akina Kapombe na Zimbwe wanapanda juu kifala, wanajua kabisa huku nyuma kuna watu; Wawa, Onyango na LwangaSijapata picha Tuisila angebaki na kucheza upande mmoja na hiki kiberenge kinachoitwa Djuma Shabani!!
π€£π€£π π π π€£Yani wangebeba medali zote Olympic marathon