Ikitokea mpaka 25/9/2021 ITC hazijafika, wachezaji wa Yanga watacheza!?

Ikitokea mpaka 25/9/2021 ITC hazijafika, wachezaji wa Yanga watacheza!?

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!??
Nawasilisha
 
Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!??
Nawasilisha
Mkuu mechi za ligi kuu na mashindano yote ya ndani wanaruhusiwa kucheza. Pia ITC zilishafika ila nje ya muda. Zilifika tar16 August wakati deadline ya CAF ilikuwa tar15 August
 
Sijapata picha Tuisila angebaki na kucheza upande mmoja na hiki kiberenge kinachoitwa Djuma Shabani!!
Ndo sasa Tuisila hayupo, kwa hiyo hakuna picha. Timu inatakiwa kucheza as a whole, sio kumtegemea Djuma apandishe mashambulizi halafu aache madhara huku nyuma anakotoka. Usifikiri akina Kapombe na Zimbwe wanapanda juu kifala, wanajua kabisa huku nyuma kuna watu; Wawa, Onyango na Lwanga
 
Back
Top Bottom