Ikitokea Rais wa sasa akashindwa kutimiza majukumu yake, je Makamu aliyejiuzulu anayemalizia muda wake ataapishwa kuwa Rais?

Tutarudi kujadili hili tukishampitisha Lissu kuwa Mwenyekiti mpya CDM.
Lissu atamshinda kweli Mwamba?

Je chadema baada ya uchaguzi wa mwenyekiti itabakia kuwa moja?

Kipindi hiki wametumia 🎀 🎀 🎀 nyingi sana je walichukua tahadhari kiasi gani? Je Gear angani atakuwa salama kiasi gani?

Je mchezo waliochenzewa na System TAL na FAM wa kufadhiliwa kila mmoja kivyake wanajua system malengo ya system kufanya hivyo?
 
Katiba imekujibu makamu wa rais ndiye atachukua kiti endapo rais atafariki alafu mkutano mkuu wa CCM wa dharura utahitishwa kumchagua mgombea rais na makamo wake of which mgombea umakamo tayari tunae.
 
Ataondoka kwenda wapi na uyo rais mpya atakayeapishwa anatoka wapi wakat ameshakufa
Anaweza kushika wadhifa huo na adishiriki uchaguzi mkuu, yani akawa interim president, hivyo akawa ameshika nafasi hiyo mpaka hapo rais mpya atakayepatikana baada ya uchaguzi, kisha yeye akakabidhi na kuondoka.
 
Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo sasa itabidi wakae vizuri aliyejiuzuru na aliyeteuliwa wagawane nchi 😜
 
Mkuu katiba ya Jamhuri ina mtaja makamu wa rais kuwa mrithi wa rais sio mgombea mwenza wa chama. Mpango hajaachia umakamu hadi Oktoba.
 
Taratibu Zimenyooka Ataapishwa



Tunafuatilia Utabiri Wa Almaruhum Sheikh Yahaya Hussein
Mtapata Rais Mkali Sana Hii Tayari
Mtapata Rais Mwanamke Tunaye
Baadaye Upinzani Watatawala Tanzania Tunangoja
Mkuu unaukumbuka upinzani wa Nchimbi mwaka 2015???
 
Mtu ana miaka 68, amechoka, anataka kustaafu. Lakin chama hicho hicho, kijana wa miaka 80, comrade Steven Wassira, kachukua mikoba ya u-makam mwenyekiti. Interesting times to be alive,
🀣 🀣 🀣
 
Wewe chochea tu!! Zikiisha kuni tuambie tusogeze zingine
 
Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Muda wa kutiwa sumu za Mic huu. Jamaa hataki seleka za mboga mboga anaona bora ajiweke kando mapema asije akaonekana sehemu ya plan vijana wa hovyo wakamnyoosha. Kuna kitu kakishtukia huyo sio bure.
 
Ameomba kujiuzulu by October 2025 sio sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…