Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Lissu atamshinda kweli Mwamba?Tutarudi kujadili hili tukishampitisha Lissu kuwa Mwenyekiti mpya CDM.
Je chadema baada ya uchaguzi wa mwenyekiti itabakia kuwa moja?
Kipindi hiki wametumia ๐ค ๐ค ๐ค nyingi sana je walichukua tahadhari kiasi gani? Je Gear angani atakuwa salama kiasi gani?
Je mchezo waliochenzewa na System TAL na FAM wa kufadhiliwa kila mmoja kivyake wanajua system malengo ya system kufanya hivyo?