Ikitokea ukamsikia Mussa Azzan Zungu,Mwigulu Nchemba na Tarimba Abbas. Unamwona kabisa Shetani anavyokuwazia mabaya....kuanzia hapa hapa Duniani.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu?

Adhabu ambayo tunaipata kwa hawa watu au wa aina hii ni kubwa. Hapo bado hujamsikiliza dr nchemba....unaweza kuanza kulia na kusaga meno. Unaiona jehanamu hii hapa kabisa. Shetani na Malaika wake wanavyowaza namna ya kuendelea kukutesa.
 
Kwa umoja wao wanataka tuhamie Burundi 🚶
 
Hatar sn
 
Back
Top Bottom