Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo wanaouwezo wa kuwa superpower na walishawahi kuwa hivyo wazungu waliogopa kuwa mfumo wao wa kibepari utapotea kama hawa washikaji watarise again.

Naipinga Bibilia kwa sababu imeandika kitu ambacho unknown and totally false hivi inakuwaje watu kabila (ISRAEL) lisiwepo alafu baadae liwepo kwa case ya ahadi ya mungu? Tunafahamu kuwa Yakobo ndiyo baba wa ISRAEL na yeye ndiye aliyekuwa mchungaji (anaehama), aliposikia mwanae kapata shavu akaamua aende mazima misri na kupanga namna ya kuipindua misri kuwa ya kwao jambo ambalo farao alisha tambua,baadae walifanyiwa umafya na Hitler nao waliona kuwa jamaa wanataka kuzingua.

Marekani akatafuta namna ya kuwakabidhi eneo ambalo ni mkakati wa kuichafua hali ya hewa ya middle east.

Ikitokea ISRAEL akajibu shambulio la Iran inatamaanisha ni vita kamili na kwa bahati mbaya Waarabu wa sasa ni tofauti na zama za kale tusiaminishane kuhusu six day war nao ulikuwa ni unafiki wa Waarabu wao kwa wao wanaangushana ila kama vita ikitokea middle east huyu jamaa watamuondoa chap.
Bible imekuwepo kabla ya kitabu unachokiamini kuwepo wala kupinga kwako biblia hukutabadili chochote duniani.
 
palestina zamani kwani unaweza kunambia kuna nchi inaitwa kanani,sham n.kn.k? ila ni majina ya wa viongozi wa makabila..nchi zimejulikana karne hii
Sawa nitajie mfalme wa palestina alikuwa anaitwa nani na alianzisha palestina mwaka gani?
 
Ndio upo ushahidi hadi kwenye qoroun israel imetajwa mara 48 je palestina haijatajwa? Biblia imeitaja israel ikuwepo hapo , majengo ya utamaduni , masalia ya kale yanaonekana ni ya wayahudi waliishi hapo
Kabla ya 1948 Israel ilikuwepo pale Mashariki ya kati?
 
Naskia baada ya Hitler ilitakiwa waletwe Africa maeneo ya Ethiopia. Sijui nini kilifanya wasije. Huku tusingepigana nao, tungefyeka kizazi Chao kwa kuzaa nao tu.

Imagine tumemzingira Israel (hapo ilipo Ethiopia) tuna mu attack kwa mboo kutoka kila kona. Akienda magharibi anakutana na kuni za kisudani, akija kusini anakutana na chuma za kikenya, akijaribu kukimbilia mashariki anakutana na ndonga za msomali, akipaparika kaskazini mu Eritrea anapiga pushup.

Ni miaka 5 tu hakuna muizrael wa baba na mama.
HII HISTORIA YAKO INA MUSHKELI. ITAKUWA YA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA.
 
Shida siyo biblia, shida ni hawa wakristo uchwara wasiojua maandiko hususani walokole ambao huamini kwamba Israel ni taifa la Mungu kwahiyo kila itendalo wao ni kuitikia tu Amina na kuitakia baraka.

Hawajui mpango wa Mungu wa ukombozi kwa ulimwengu na jinsi ilivyotabiriwa kwa wayahudi kumkataa masihi kumtesa na kumuua. Rehema za Mungu zi kwa watu wote wamchao Yeye. Rehema za Mungu kwa wayahudi kuitwa taifa la Mungu zilikoma baada ya ujio wa masihi.

Waisrael waliandaliwa tu Kama taifa kuwezesha Kuzaliwa kwa kristo lakini lengo kuu Ni ukombozi kwa ulimwengu. Ndiyo maana Petro katika kitabu cha matendo 10 anasema anatambua Sasa kuwa Mungu hana upendeleo si kwa muyahudi wala kwa myunani.

Sasa Ni Jambo la ajabu kumuona mkristo akishabikia dhuluma na mauaji kisa yamefanywa na Israel kwa kudhani eti kufanya hivyo ni kutawafanya wabarikiwe na Mungu...Very pathetic!
God bless 🇮🇱
 
Waisrael walio nje ya israel ni wengi kuliko waliopo hapo middle east. Na ndio wamiliki wa asilimia kubwa ya uchumi wa dunia
 
Waisrael walio nje ya israel ni wengi kuliko waliopo hapo middle east. Na ndio wamiliki wa asilimia kubwa ya uchumi wa dunia
Mtunduzi tukurekebishe. Sema Wayahudi (Jews) waliopo nje ya Israel ni wengi kuliko walioo Israel. Israeli ni nchi tu kama zilizivyo nchi zingine.
 
Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo wanaouwezo wa kuwa superpower na walishawahi kuwa hivyo wazungu waliogopa kuwa mfumo wao wa kibepari utapotea kama hawa washikaji watarise again.

Naipinga Bibilia kwa sababu imeandika kitu ambacho unknown and totally false hivi inakuwaje watu kabila (ISRAEL) lisiwepo alafu baadae liwepo kwa case ya ahadi ya mungu? Tunafahamu kuwa Yakobo ndiyo baba wa ISRAEL na yeye ndiye aliyekuwa mchungaji (anaehama), aliposikia mwanae kapata shavu akaamua aende mazima misri na kupanga namna ya kuipindua misri kuwa ya kwao jambo ambalo farao alisha tambua,baadae walifanyiwa umafya na Hitler nao waliona kuwa jamaa wanataka kuzingua.

Marekani akatafuta namna ya kuwakabidhi eneo ambalo ni mkakati wa kuichafua hali ya hewa ya middle east.

Ikitokea ISRAEL akajibu shambulio la Iran inatamaanisha ni vita kamili na kwa bahati mbaya Waarabu wa sasa ni tofauti na zama za kale tusiaminishane kuhusu six day war nao ulikuwa ni unafiki wa Waarabu wao kwa wao wanaangushana ila kama vita ikitokea middle east huyu jamaa watamuondoa chap.
Walishaungana wakashindwa wote
 
naamini kuna watumwa walienda asia hata kama haijatawaliwa,viongozi wa kiafrika ngono ilikuwa ni ukarimu kwao waliwatoa wanawake kwa lengo la kuburudisha wageni.

waislamu wanawaita abu thania-ethiopia kama sijalikosea hilo jina,mtume alisifia kuwa kuna mfalme anaetenda haki nchi ya mashariki ya mbali watu wakapiga hesabu wakaikuta hii nchi.

ila kwenye haya mambo ya vita,MISRI ni nchi ya kulaumiwa ndiyo sababu ya hizi itikadi na uchochezi.
HABASHA.
 
Mleta mada unaonekana unaongozwa na mhemko wa dini yako, kosa kubwa ulilolifanya ni kuihusisha biblia negativelly to your mind. Huu mzozo ungeuzungumzia as international political platform ungeeleweka vizuri kuwa unaitetea palestina dhidi ya israel. Usilete chuki kwa israel kama huujui mzozo wao tangu karne na karne
 
Suluhisho ni Palestina litambuliwe kama taifa huru lenye mipaka yake (a sovereign state)
Kwani kwa sasa hivi Palestina inatambulika kama nini?
Hivi mpaka leo hii Palestina haina mipaka yake?

Mwisho kabisa, embu jiulize ni kwanini mpaka leo hii Palestina na marafiki zake hawataki kuitambua Israel kama taifa?
 
Back
Top Bottom