Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?

Bible imekuwepo kabla ya kitabu unachokiamini kuwepo wala kupinga kwako biblia hukutabadili chochote duniani.
 
palestina zamani kwani unaweza kunambia kuna nchi inaitwa kanani,sham n.kn.k? ila ni majina ya wa viongozi wa makabila..nchi zimejulikana karne hii
Sawa nitajie mfalme wa palestina alikuwa anaitwa nani na alianzisha palestina mwaka gani?
 
Ndio upo ushahidi hadi kwenye qoroun israel imetajwa mara 48 je palestina haijatajwa? Biblia imeitaja israel ikuwepo hapo , majengo ya utamaduni , masalia ya kale yanaonekana ni ya wayahudi waliishi hapo
Kabla ya 1948 Israel ilikuwepo pale Mashariki ya kati?
 
HII HISTORIA YAKO INA MUSHKELI. ITAKUWA YA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA.
 
God bless 🇮🇱
 
Waisrael walio nje ya israel ni wengi kuliko waliopo hapo middle east. Na ndio wamiliki wa asilimia kubwa ya uchumi wa dunia
 
Waisrael walio nje ya israel ni wengi kuliko waliopo hapo middle east. Na ndio wamiliki wa asilimia kubwa ya uchumi wa dunia
Mtunduzi tukurekebishe. Sema Wayahudi (Jews) waliopo nje ya Israel ni wengi kuliko walioo Israel. Israeli ni nchi tu kama zilizivyo nchi zingine.
 
Walishaungana wakashindwa wote
 
HABASHA.
 
Mleta mada unaonekana unaongozwa na mhemko wa dini yako, kosa kubwa ulilolifanya ni kuihusisha biblia negativelly to your mind. Huu mzozo ungeuzungumzia as international political platform ungeeleweka vizuri kuwa unaitetea palestina dhidi ya israel. Usilete chuki kwa israel kama huujui mzozo wao tangu karne na karne
 
Suluhisho ni Palestina litambuliwe kama taifa huru lenye mipaka yake (a sovereign state)
Kwani kwa sasa hivi Palestina inatambulika kama nini?
Hivi mpaka leo hii Palestina haina mipaka yake?

Mwisho kabisa, embu jiulize ni kwanini mpaka leo hii Palestina na marafiki zake hawataki kuitambua Israel kama taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…