Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
Mkuu The only, katika malezi yangu na makuzi, sikuwahi kuamini kuwa kuna binadamu ni wicked people!.Usikae utanie ramadan kwenye maisha yako . Ona unavojiaibisha
Nilianzia kazi JWTZ, huko sikukutana na wickedness yoyote. Nikaja RTD, watu wanasema sema sana kuwa RTD sio mchezo!, mimi nilifanya kazi pale miaka 5 bila wickedness yoyote!. Nikaenda DTV for 5 years no wickedness yoyote!. Niliporejea TBC TV as a boss, ndipo nikakutana na mambo na ndipo nikagundua ni kweli kuna baadhi ya binadamu ni wicked!.
Hiyo wickedness ya binadamu iko ya viwango tofauti tofauti, wickedness nyingine ni kubwa ya kufanya maandalizi au kuwaendea watu kinyume, na wickedness nyingine ni wickedness ndogo tuu ya mawazo wicked.
Wawe Mkuu The only, post yako hiyo ni wicked!. Wapi nimetania mwezi Mtukufu?. Ukiwa na mawazo wicked, kila kitu unakiangalia kwa jicho la udini!. Hijab sio vazi la Kiislamu, ni vazi la Kiarabu, Kiyahudi na Kiyunani la stara na staha kwa Mwanamke. Hata Bikira Maria Mama wa Yesu alivaa!. Hata masista na watawa wa Katoliki wanavaa!. Huo udini wa Hijab unautolea wapi?!.
Kwa taarifa yako mimi ni miongoni mwa watu tunao uheshimu sana Uislaam na kati ya wake zangu 3, mmoja wa kwanza ni muislamu na watoto wangu 3 ni Waislamu kwa kufuata dini ya Mama Yao!.
Angalia ninavyoheshimu mwezi Mtukufu wa Ramadan Amri Kuu ni Upendo. Kwaresma Hii na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Watanzania Tupendane, Tuonyeshane Upendo Kama TotalEnergies Inavyofanya
Wewe ukiendelea na wickedness yako hii, mwisho wa siku utaingia na kuwa mmoja wa watu wa kundi hili hatari!. Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
P