NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji!!
Najaribu kuvuta picha tuendapo napaona pagumu n hatuna pa kushika bila kujali nani atakua mshika dola!
Ccm itakua radhi kuuachia upinzani serikali pale watakapoona hakuna pa kushika na raia wamechoka na kupigika na maisha huku rasilimali zimebebwa na wageni KWA mikataba ya karne!!
Ndipo upinzani utashindwa kuendesha serikali na kuidai tanganyika kikatiba ilu kubatilisha mikataba ya rasilimali iliyoingiwa wakati nchi ukiwa Tanzania kabla!!
Mbinu pekee itakua ni kudai serikali tatu ili Tanganyika ipatikane na serikali mpya ya Tanganyika ifumue mikataba upya kuokoa wananchi hapo itakua too late!!
Mungu ibariki Tanzania!