Ikitokea upinzani ukashika DOLA utakuta nchi ipo hoi bin taaban.

Hofu yangu sio utegemezi, sioni kikubwa cha tofauti kitakachofanywa na upinzani kwa Tanzania hii.
Ndio hapo Mkuu unapo kosea! Kwani hao wapinzani waliwahi kuongoza Nchi hii? Wape nafasi, ili tunaone katika matendo na sio katika kufikirika. Mbona Mh. Hayati Magufuli baada ya kuwakosa watu wenye sifa za kuongoza Nchi ndani ya Chama chake kinachotawa aliamua kuwa bembeleza vijana wa upinzani na kuwapa vyeo vya kiutendaji vya juu. TUBADILIKE
 
NI KWELI KWA HII MIKOPO YA KIJINGA MNAYOCHUKUA LEO HILO LIKO WAZI
 
Mtu anayeongoza amefeli wapewe wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…