M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,285 Reaction score 13,703 Nov 5, 2025 #1 Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi
Ikitokea vita na magaidi hatuwasaidia, hatutawatibu, hatutatoa damu zetu, hatutawapa maji ya kunywa wala chakula. Sasa hii ndio hatua tupo, na siku kadhaa mtasikia matukio kama ya MKIRU mengi kuliko mlivowahi
popomwitu JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 261 Reaction score 613 Nov 5, 2025 #2 Vita ipi mkuu, ya taifa kuvamiwa au dhidi ya ugaidi?
M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,285 Reaction score 13,703 Nov 5, 2025 Thread starter #3 popomwitu said: Vita ipi mkuu, ya taifa kuvamiwa au dhidi ya ugaidi? Click to expand... ugaidi
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,840 Reaction score 18,115 Nov 5, 2025 #4 Kwa kweli haya mashetani yaliyowaua vijana waliokuwa wakilia haki iliyoporwa kwa muda mrefu, lolote baya likiyafika, itakuwa ni faraja kubwa kwa kila mwenye kuthamini uhai wa mwanadamu, na mwenye upendo kwa Taifa letu.
Kwa kweli haya mashetani yaliyowaua vijana waliokuwa wakilia haki iliyoporwa kwa muda mrefu, lolote baya likiyafika, itakuwa ni faraja kubwa kwa kila mwenye kuthamini uhai wa mwanadamu, na mwenye upendo kwa Taifa letu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 5, 2025 #5 Hatari sana... Cc: Mahondaw