Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Umeionea wapi mishahara ya sureboy na mudathir?
Tukikuita mmbeya tutakua tumekosea?
 
Walilazimishwa kukubali pindi wanasain mkataba? au ndio tamaa mbele mauti nyuma.
Inawezekana ni tamaa mbele kama unavyosema au njaa tu au kuchelewa kuijua thamani yako au kutokujua ukubwa wa kazi au mbinu za kuingia kazini. Sababu inaweza kuwa yoyote ile.
 
Hata mama yako pia hajawahi kuwa na akili ndio maana akakuzaa.
Unaona ulivyompumbavu? Badala ya kujibu hoja unakimbilia kutoa matusi, by the way njoo na tusi jipya ndo linaweza kunibabaisha lkn hilo uliloleta ni marudio tu.
 
Unaona ulivyompumbavu? Badala ya kujibu hoja unakimbilia kutoa matusi, by the way njoo na tusi jipya ndo linaweza kunibabaisha lkn hilo uliloleta ni marudio tu.
Hiyo takataka uliyoandika ndio unaita hoja??
 
Kwa wachezaji gani kwanza, hao wakina kisinda na Azizi ki ?
 
Wewe mleta uzi atamimi hapo mwanzo nilikua najiuliza kama wewe itakuaje ikiwa hivyo?....Yaan nilikua namuona Fei alikua anaikosea sana club ameshindwa kufuata matakwa ya mkataba, ila tangu lilipotokea swala la club hiyo hiyo kushindwa kuhesimu mkataba wake na mdhamini wake mkuu nikaona kwenye club kuna uhuni mkubwa unaendelea na mengine mengi tu yanakuja hususani ni ya kimikataba. Alichokifanya Fei dhidi ya club ya kimpira ni pigo kubwa kwake, na ilichokifanya club dhidi ya mdhamini wake kibishara ni pigo kubwa kwao, muda utaongea watavuna tu walivyopanda leo.
 
Watafute wazee wa Yanga watakupa story nzima. Kufukuzwa kwa wachezaji wote wa Yanga kulizaa timu inaitwa Pan African. Usisahau kuwauliza kwa nini wana historia za migogoro mikubwa na wachezaji, shida ni nini?
Daaaah uwezo wako ni mdogo sana. Unaacha kujibu swali la msingi unakimbilia kunieleza historia ambayo naifaham vema kuliko wewe. The question remains: Yanga waliwafukuza wachezaji wote wakati ligi ikiwa inaendelea?
 
Jibu kwanza swali. Hayo maneno yako ni nje ya mada
 
I understand your pain. Yanga officialls re deite to you. People like you, show reverence and adoration for a deity. Huwezi vumilia maneno yenye viashiria vya kuwaweka hatiani.
Unaleta hisia zaidi kuliko facts. Mikataba ni ya kazi gani kama timu zitatakiwa kufanya decisions kwa kuangalia matakwa ya mchezaji? Kwamba Yanga wamuuze Mayele hata kwa hela kidogo eti kwakuwa ameonesha kuichoka timu??????
 
Kwa sheria ipi? Iweke hapa
 
Maana hiyo nayo ni moja wapo ya sababu za kuvunja mkataba.

Hawa vilaza wa TFF wanatusumbua tu na ujinga wao.

Uelewa mdogo na madaraka wanangangania.
Sheria zinasemaje
 
Inawezekana ni tamaa mbele kama unavyosema au njaa tu au kuchelewa kuijua thamani yako au kutokujua ukubwa wa kazi au mbinu za kuingia kazini. Sababu inaweza kuwa yoyote ile.
Hizo sababu zinatosha kukiuka mkataba?
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…