Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Walilazimishwa kukubali pindi wanasain mkataba? au ndio tamaa mbele mauti nyuma.Wapo wafanyakazi wanaotumikishwa kwa malipo kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walilazimishwa kukubali pindi wanasain mkataba? au ndio tamaa mbele mauti nyuma.Wapo wafanyakazi wanaotumikishwa kwa malipo kidogo.
Kwakweli ( in feitoto voice)Mikataba iheshimiwe
Umeionea wapi mishahara ya sureboy na mudathir?Yanga wenye akili ni wawili tu haya wekeni dau mlilomnunua sure boy na sio huyo tu wachezaji kibao mmepewa bure na AZAM na hawajalalamika ila feisal imekuwa nongwa ina maana yanga imesahau dhulma ilizofanya kwa team nyingine mchezaji kashasema hataki kubaki yanga lazima mumkomoe muacheni aende anapoona kuna faa mpa mudathir na sure boy wanamzidi hela feisal acheni dhulma kwa wachezaji wazawa.
Inawezekana ni tamaa mbele kama unavyosema au njaa tu au kuchelewa kuijua thamani yako au kutokujua ukubwa wa kazi au mbinu za kuingia kazini. Sababu inaweza kuwa yoyote ile.Walilazimishwa kukubali pindi wanasain mkataba? au ndio tamaa mbele mauti nyuma.
Unaona ulivyompumbavu? Badala ya kujibu hoja unakimbilia kutoa matusi, by the way njoo na tusi jipya ndo linaweza kunibabaisha lkn hilo uliloleta ni marudio tu.Hata mama yako pia hajawahi kuwa na akili ndio maana akakuzaa.
Hiyo takataka uliyoandika ndio unaita hoja??Unaona ulivyompumbavu? Badala ya kujibu hoja unakimbilia kutoa matusi, by the way njoo na tusi jipya ndo linaweza kunibabaisha lkn hilo uliloleta ni marudio tu.
Za MUDA WOTEHizo ni sheria za lini??
Wewe mleta uzi atamimi hapo mwanzo nilikua najiuliza kama wewe itakuaje ikiwa hivyo?....Yaan nilikua namuona Fei alikua anaikosea sana club ameshindwa kufuata matakwa ya mkataba, ila tangu lilipotokea swala la club hiyo hiyo kushindwa kuhesimu mkataba wake na mdhamini wake mkuu nikaona kwenye club kuna uhuni mkubwa unaendelea na mengine mengi tu yanakuja hususani ni ya kimikataba. Alichokifanya Fei dhidi ya club ya kimpira ni pigo kubwa kwake, na ilichokifanya club dhidi ya mdhamini wake kibishara ni pigo kubwa kwao, muda utaongea watavuna tu walivyopanda leo.Kama wachezaji wana haki ya kuvunja mikataba wakati wowote, kuna uwezekano wa kutokea kitu cha ajabu sana. Swali ni je pale Yanga ikitokea wachezaji zaidi ya 20 wamepata deals nzuri na wameamua kuvunja mikataba yao (kama alivyojaribu Feisal), timu itaendelea na kushiriki mashinano?
Daaaah uwezo wako ni mdogo sana. Unaacha kujibu swali la msingi unakimbilia kunieleza historia ambayo naifaham vema kuliko wewe. The question remains: Yanga waliwafukuza wachezaji wote wakati ligi ikiwa inaendelea?Watafute wazee wa Yanga watakupa story nzima. Kufukuzwa kwa wachezaji wote wa Yanga kulizaa timu inaitwa Pan African. Usisahau kuwauliza kwa nini wana historia za migogoro mikubwa na wachezaji, shida ni nini?
Jibu kwanza swali. Hayo maneno yako ni nje ya madaYanga wenye akili ni wawili tu haya wekeni dau mlilomnunua sure boy na sio huyo tu wachezaji kibao mmepewa bure na AZAM na hawajalalamika ila feisal imekuwa nongwa ina maana yanga imesahau dhulma ilizofanya kwa team nyingine mchezaji kashasema hataki kubaki yanga lazima mumkomoe muacheni aende anapoona kuna faa mpa mudathir na sure boy wanamzidi hela feisal acheni dhulma kwa wachezaji wazawa.
AbsolutelyFrom a layman's perspective.
Na huo ndiyo ustaarabu wa dunia ya leoMikataba iheshimiwe
Unaleta hisia zaidi kuliko facts. Mikataba ni ya kazi gani kama timu zitatakiwa kufanya decisions kwa kuangalia matakwa ya mchezaji? Kwamba Yanga wamuuze Mayele hata kwa hela kidogo eti kwakuwa ameonesha kuichoka timu??????I understand your pain. Yanga officialls re deite to you. People like you, show reverence and adoration for a deity. Huwezi vumilia maneno yenye viashiria vya kuwaweka hatiani.
Kwa sheria ipi? Iweke hapaKwanini wasivunje kwani kuna mtu anaingia mkataba na wenzake??
Hujawahi kuona migomo??
Someni amendments za fifa transfer rules.
Kama hujawahi kushuhudia jambo haimaanishi haliwezi tokea.
Tatizo letu ndio hili kila mahali.
Zile nafasi flani hivi huwa zinakamatwa na vilaza kwa nguvu za fitna rushwa na uchawi.
Sheria zinasemajeMaana hiyo nayo ni moja wapo ya sababu za kuvunja mkataba.
Hawa vilaza wa TFF wanatusumbua tu na ujinga wao.
Uelewa mdogo na madaraka wanangangania.
MmmmhHata mama yako pia hajawahi kuwa na akili ndio maana akakuzaa.
Sheria unazozijua wewe ni za lini na zinasemajeHizo ni sheria za lini??
Hizo sababu zinatosha kukiuka mkataba?Inawezekana ni tamaa mbele kama unavyosema au njaa tu au kuchelewa kuijua thamani yako au kutokujua ukubwa wa kazi au mbinu za kuingia kazini. Sababu inaweza kuwa yoyote ile.
Ndio hao hao. Kama ambavyo Saidoo amepata deals kwingineko baada ya kuondoka YangaKwa wachezaji gani kwanza, hao wakina kisinda na Azizi ki ?