Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Mpira si biashara ya utumwa. Mchezaji wajibu wake unaambatana na nia ya kutimiza huo wajibu, ukiondoa nia basi ni sawa na huna huyo mchezaji hata kama utalazimisha awepo kikosini. Kuwa na wachezaji 20 wasio na nia ya kuipigania timu ni bora wasiwepo tu. Ni sawa na kufuga mbuzi wafukuze paka wezi wa kuku. Utasema una walinzi ila ni kama huna tu.
Neno NIA ulilotumia hapa litafasiriwe pia kama UTASHI au HIARI. Hakuna Nia/Utashi/Hiari kwenye mkataba.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mada unaiacha pembeni unajadili unayoyajua wewe. Seems uliugua sana utotoni
Sina tabia ya kushambulia watu kwa maneno ya hovyo ila unachokitafuta utakipata. Endelea.
 
Kwani ndani ya uwanja nyinyi mmefanikiwa nini kushiriki makundi kombe la loosers au wanaume wapo Caf champions league huko wanacheza na wanaume wenzao nyie endeleeni kusikiliza ujinga wa manara yaani caf confederation cup mnapiga kelele hivyo mara ya mwisho kushiriki Caf champions league wewe ulikuwa hujazaliwa ilikuwa 1996 mpaka leo
[emoji23][emoji23]mnacheza na wanaume wenzenu?
 
Ukiona huwezi ku urge una log out bila maneno machafu kesho nayo ni siku
Dogo anato. mbwa huyo. Soma maelezo ya juu nilivyokuwa najadili kistaarabu halafu soma alichokuwa ananijibu. Uvumilivu una mwisho. Ku. ma la mama ake.
 
Dogo anato. mbwa huyo. Soma maelezo ya juu nilivyokuwa najadili kistaarabu halafu soma alichokuwa ananijibu. Uvumilivu una mwisho. Ku. ma la mama ake.
Extremely idiot
 
Back
Top Bottom