Tetesi: IKIWA ATAKOSA FURSA YA KUGOMBEA URAIS DR.WILBROAD P. SLAA KUGOMBEA UBUNGE

sasa hivi unaonaje, unafiki upo ama haupo?

apewe fursa hiyo muhimu na chadema au?πŸ’
 
Utaratibu ufatwe nasio haya mtandaoni unaleta
Je,
ni utaratibu wa nani umekiukwa kulinga na mipango mikakati ya nguli huyo wa siasa humu nchini, mathalani hapo kwenye tetesi hiyo ya msingi?πŸ’
 
Atamuweza Paschal Mayalla huko Kawe?
 
sasa hivi unaonaje, unafiki upo ama haupo?

apewe fursa hiyo muhimu na chadema au?πŸ’
Sio lazima agombee kupitia Chadema , Kuna tofauti ya Dr. wa darasani na WA kupewa na atakapogombea tofauti hizo zitaonekana.
Ila badala ya kumsemea tumwache yeye mwenyewe aseme.
 
Sio lazima agombee kupitia Chadema , Kuna tofauti ya Dr. wa darasani na WA kupewa na atakapogombea tofauti hizo zitaonekana.
Ila badala ya kumsemea tumwache yeye mwenyewe aseme.
haya sawa,
wacha tusibir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…