Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hivi unaonaje, unafiki upo ama haupo?Dr. Slaa ni president material, ni mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja pia uwezo wake kiuongozi pale alipokuwa mwenyekiti wa kamati za bunge na katibu mkuu Chadema.
Tatizo ni unafiki wa viongozi wa Chadema. Hawakawii kumgeuka natamani kiibuke chama kingine kisichokuwa na mabaki ya CCM agombee.
Atamuweza Paschal Mayalla huko Kawe?na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili kuimarisha uhai wa demokrasia nchini.
atagombea ubunge miongoni mwa majimbo katika mkoa wa dar, Manyara au Arusha..
unaonaje mipango mikakati hii kabambe ya kisiasa ya nguli na mkongwe huyu katika siasa za Tanzania alie kimya sana wakati huu?🐒
Sio lazima agombee kupitia Chadema , Kuna tofauti ya Dr. wa darasani na WA kupewa na atakapogombea tofauti hizo zitaonekana.sasa hivi unaonaje, unafiki upo ama haupo?
apewe fursa hiyo muhimu na chadema au?🐒