Tetesi: IKIWA ATAKOSA FURSA YA KUGOMBEA URAIS DR.WILBROAD P. SLAA KUGOMBEA UBUNGE

Tetesi: IKIWA ATAKOSA FURSA YA KUGOMBEA URAIS DR.WILBROAD P. SLAA KUGOMBEA UBUNGE

Dr. Slaa ni president material, ni mtu mwenye uwezo wa kujenga hoja pia uwezo wake kiuongozi pale alipokuwa mwenyekiti wa kamati za bunge na katibu mkuu Chadema.
Tatizo ni unafiki wa viongozi wa Chadema. Hawakawii kumgeuka natamani kiibuke chama kingine kisichokuwa na mabaki ya CCM agombee.
sasa hivi unaonaje, unafiki upo ama haupo?

apewe fursa hiyo muhimu na chadema au?🐒
 
Utaratibu ufatwe nasio haya mtandaoni unaleta
Je,
ni utaratibu wa nani umekiukwa kulinga na mipango mikakati ya nguli huyo wa siasa humu nchini, mathalani hapo kwenye tetesi hiyo ya msingi?🐒
 
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,

duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili kuimarisha uhai wa demokrasia nchini.

atagombea ubunge miongoni mwa majimbo katika mkoa wa dar, Manyara au Arusha..

unaonaje mipango mikakati hii kabambe ya kisiasa ya nguli na mkongwe huyu katika siasa za Tanzania alie kimya sana wakati huu?🐒
Atamuweza Paschal Mayalla huko Kawe?
 
sasa hivi unaonaje, unafiki upo ama haupo?

apewe fursa hiyo muhimu na chadema au?🐒
Sio lazima agombee kupitia Chadema , Kuna tofauti ya Dr. wa darasani na WA kupewa na atakapogombea tofauti hizo zitaonekana.
Ila badala ya kumsemea tumwache yeye mwenyewe aseme.
 
Sio lazima agombee kupitia Chadema , Kuna tofauti ya Dr. wa darasani na WA kupewa na atakapogombea tofauti hizo zitaonekana.
Ila badala ya kumsemea tumwache yeye mwenyewe aseme.
haya sawa,
wacha tusibir :pedroP:
 
Back
Top Bottom