Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri Mkuu. George Mkuchika atamfaa zaidi Rais Samia kwa usalama wa cheo chake kuelekea 2025. Huyu mzee ndiye Mbunge mzee kuliko wote bungeni.
Vijana waongoze wizara na waje na mabadiliko mapya yenye kutoa majawabu kwa changamoto zetu.