Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mkuchika Kanda ya kusiniSisi kiapumbele chetu ni kuondoa watu wa Kanda ya ziwa na walio wakiristu.
Ndio Tanzania itaendelea kuwa maskini kwa upuuzi huu!Tetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri Mkuu. George Mkuchika atamfaa zaidi Rais Samia kwa usalama wa cheo chake kuelekea 2025. Huyu mzee ndiye Mbunge mzee kuliko wote bungeni.
Vijana waongoze wizara na waje na mabadiliko mapya yenye kutoa majawabu kwa changamoto zetu.
Uyo mkuchika apumzike ili ajiuguze kwanza apate muda wa kucheza na wajukuuTetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri Mkuu. George Mkuchika atamfaa zaidi Rais Samia kwa usalama wa cheo chake kuelekea 2025. Huyu mzee ndiye Mbunge mzee kuliko wote bungeni.
Vijana waongoze wizara na waje na mabadiliko mapya yenye kutoa majawabu kwa changamoto zetu.
Eti na wewe ni mama wa familia.Sisi kiapumbele chetu ni kuondoa watu wa Kanda ya ziwa na walio wakiristu.
Lukuvi ana weza kuwa Pm bora. Huyu baba ametulia. Hata majibu yake hayana fitnaTetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri Mkuu. George Mkuchika atamfaa zaidi Rais Samia kwa usalama wa cheo chake kuelekea 2025. Huyu mzee ndiye Mbunge mzee kuliko wote bungeni.
Vijana waongoze wizara na waje na mabadiliko mapya yenye kutoa majawabu kwa changamoto zetu.
we ni punguani!! Umejawa na ukristo kichwani na udiniSisi kiapumbele chetu ni kuondoa watu wa Kanda ya ziwa na walio wakiristu.
Kumbuka lengo anatakiwa Mtu asiye na ndoto ya urais. Unaona Makamu wa Rais alivyonywea? Hali hiyo ilipaswa kuwepo?Ndio Tanzania itaendelea kuwa maskini kwa upuuzi huu!
Shida huyu bado atakuwa tishio kwa MamaLukuvi ana weza kuwa Pm bora. Huyu baba ametulia. Hata majibu yake hayana fitna
Mkuu siasa ina maajabu, hayo ndiyo yanafanyika. Kijana atamsumbua huyu Mama na kujikuta akivunja tena BarazaDuh! Hivi hamchoki na haya majina? Tangu tunazaliwa tunayasikia yako serikalini hadi leo na sisi ni watu wazima bado mnataka yaendelee kuwepo? Taifa limepungukiwa watu kiasi hiki?
Nina kipato kizuri tu. Mimi ni Hustler, ukitaka nitakupa hata ajira.Kila uchao kuwaza nani akuongoze, hakuna kuwaza namna gani utajiongezea kipato!
Mkuchuka ni mzee mwenye majukumu mazito sana nchi hii, ni sawa na moja ya mizizi mikuu katika shina la Mti, aachwe na majukumu yake, Waziri mkuu anamajukumu mengi ya kukimbiakimbia tutammalizia barabarani bureTetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri Mkuu. George Mkuchika atamfaa zaidi Rais Samia kwa usalama wa cheo chake kuelekea 2025. Huyu mzee ndiye Mbunge mzee kuliko wote bungeni.
Vijana waongoze wizara na waje na mabadiliko mapya yenye kutoa majawabu kwa changamoto zetu.
Asante Mkuu kwa kulijua hilo. Nashukuru kwa offer. Nimekutumia CV yangu kwa utekelezaji wako. Check inbox.Nina kipato kizuri tu. Mimi ni Hustler, ukitaka nitakupa hata ajira.
Yaani ukisikia mtu hajamung'unya maneno ndiyo wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi kiapumbele chetu ni kuondoa watu wa Kanda ya ziwa na walio wakiristu.
Kwanini Asiwe mzee NDUGAITetesi zimezagaa kuwa Baraza lote litafumuliwa na kusukwa upya. Inadaiwa hata waziri Mkuu ataguswa.
Mawaziri wakuu wengi wamekuwa na ndoto ya urais. Hivyo Mama asijitege kumteua kijana kwani atakuwa mwiba kwake. Amtafute Mzee mbunge asiye na Cha kupoteza tena aliyeshiba umri na kumteua waziri Mkuu. George Mkuchika atamfaa zaidi Rais Samia kwa usalama wa cheo chake kuelekea 2025. Huyu mzee ndiye Mbunge mzee kuliko wote bungeni.
Vijana waongoze wizara na waje na mabadiliko mapya yenye kutoa majawabu kwa changamoto zetu.
OkAsante Mkuu kwa kulijua hilo. Nashukuru kwa offer. Nimekutumia CV yangu kwa utekelezaji wako. Check inbox.