SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Mmeanza Kuchaji Akili,Japo Mimi Mwana CCM Tawi la Kata 14 Temeke ila naogopa sana mambo haya!
akili za kipumbavu mno hizi, watu kama nyie mnakutaga huko kwenu wako na njaa kuliko kitu chochote kileKama CCM tayari;
1. Tuna tume Huru (Mwenyekiti, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Makamishna wote wameteuliwa na mgombea mojawapo),
2. Polisi wapo wanatubeba kila hatua,
2. Pesa (Tsh Bilioni 86 imetulia kwenye akaunti Kuu ya Chama) kwa nini tukafanye tena uchaguzi? Tupoteze tena mabilioni?
Kindly,respond the statement accordinglyakili za kipumbavu mno hizi, watu kama nyie mnakutaga huko kwenu wako na njaa kuliko kitu chochote kile