Ikiwa kama Dunia nzima inajua Mgogoro wa DRC unasababishwa na Kagame, Vikao vinavyofanyika ni vya nini?

Nani alikuwa muhamiaji haramu miaka 300 iliyopita na kulikuwa hakuna nchi iliyoitwa Congo au Tanzania, sasa tulia mshindi ataamua sio wakabila na wajinga wasioelewa kitu, watu wenye akili kama yako ndio maana M23 ilianzishwa
 
..jeshi la Drc lilijisalimisha.

..jeshi la Burundi lilitokomea.

..M23 wakateka mji wa Goma.

..Rwanda pamoja na udogo wake ndiyo namba 2 ktk kuchangia vikosi vya kulinda amani vya UN

..Kagame ana pesa nyingi mno kwa ajili ya vita.
Jamaa anafahamu vyema namna ya kucheza na Mabeberu
 
Je huu ndio msimamo wetu CHADEMA wa jumping on bandwagon ya kulaumu Rwanda?

Au sisi foreign policy yetu iwe ni Mazungumzo kati ya pande zote kwenye mgogoro huo?
 
Je huu ndio msimamo wetu CHADEMA wa jumping on bandwagon ya kulaumu Rwanda?

Au sisi foreign policy yetu iwe ni Mazungumzo kati ya pande zote kwenye mgogoro huo?
Mimi si Msemaji wa Chadema kwenye jambo hili, hapa nimelileta kama Mwandishi wa JF
 
Je huu ndio msimamo wetu CHADEMA wa jumping on bandwagon ya kulaumu Rwanda?

Au sisi foreign policy yetu iwe ni Mazungumzo kati ya pande zote kwenye mgogoro huo?
Wahutu wawe wakwanza kuzungumza na kagame, Ili warudi kwao Rwanda.
 
Batanzanie Batanzanie

muyache mambo ya Bacongo kwa bacongo.👉💥💥 Ndumbwisa OK

Kagame hahusiki moya kwa moya na bavunja mupisi ya mucongo. OK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…