Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Nani alikuwa muhamiaji haramu miaka 300 iliyopita na kulikuwa hakuna nchi iliyoitwa Congo au Tanzania, sasa tulia mshindi ataamua sio wakabila na wajinga wasioelewa kitu, watu wenye akili kama yako ndio maana M23 ilianzishwaSitaki ligi na Wajinga, Hakuna nisichokijua kuhusu Banyamulenge, lakini hawana asili ya Congo na wala hawatokuja kuwa nayo hata kama wamekaa miaka elfu moja, asili yao haikuwa Congo walikuwa wahamiaji haramu na watabaki kuwa haramu na ni wazi wanasaidiwa na Majeshi ya Rwanda