Hellow!
Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo!
1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT?
2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi?
3. Na ikiwa mamlaka ya katiba yetu chanzo chake ni Sisi wananchi , je wananchi wanaweza kuzuia uchaguzi ikiwa watabaini mfumo wa uchaguzi hautendi haki?
Karibuni 🙏