4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Wamekunywa visunguraSasa hao wanaotwambia kuwa hatuwezi kuzuia uchaguzi batili usifanyike wamekunywa pombe aina gani?
Wamekunywa visunguraSasa hao wanaotwambia kuwa hatuwezi kuzuia uchaguzi batili usifanyike wamekunywa pombe aina gani?
Loh!Hapana mkuu wangu wa kazi ,Mimi ni mtumishi wa Bwana nimemuomba kama ndugu sio rushwa mkuu
Ndo nataka kuanza , ngoja kwanza atume sehem ya kibunda kutoka Songea.Loh!
Mbona sijaona ukimuhubiria akaacha kushikamana na watesi wetu?
Kutakasa kibunda hicho ni kutakatisha pesa haramu, utafungwa mtumishi.Ndo nataka kuanza , ngoja kwanza atume sehem ya kibunda kutoka Songea.
Ila ikimpendeza atume kibunda chote cha Songea kitakaswe alafu arudishiwe maana kimetoka katika njia isio sahii
Nashukuru kwa kunishutua ,narejea kwenye madaKutakasa kibunda hicho ni kutakatisha pesa haramu, utafungwa mtumishi.
Tuendelee na mada tafadhali.
Katiba ingekuwa imepewa nguvu na watawala kushirikiana na jeshi la police na majeshi mengine,Mada nzuri, ngoja wajuzi waje tusome yaliyomo.
Raia ndio wanapaswa kuipa katiba mamlaka, ndio maana katiba huwa zinabadilishwa.Bunge, Mahakama na Serikali vyote kwa pamoja vimepewa mamlaka na katiba,
Swali ni hiyo katiba imepewa mamlaka na nani?
Nani ni mwamuzi aliye juu ya yote bunge, Mahakama na Serikali?
Viongozi wa nchi wajue Sisi wananchi tunaweza kumfuta kazi kiongozi yeyote bila hata KUPITIA sanduku la kura,Nashukuru kwa kunishutua ,narejea kwenye mada
No reforms no election, wenye nchi ndo wenye mamlaka ,namna ya kuendesha nchi yao kwa kumwajiri kiongozi mkuu wa nchi ,so wanayo haki ya kuzuia uchaguzi na hata kumfukuzia mbali mwajiriwa wao pale aendavyo sivyo.
Saaa huyu Nchimbimbi anayetoa viapo kwamba kamwe uchaguzi hauwezi kuzuiwa usifanyike hajui nguvu na mamlaka ya umma wa watanzania?Raia ndio wanapaswa kuipa katiba mamlaka, ndio maana katiba huwa zinabadilishwa.
Ukuu wa Katiba unataka kufanana na ukuu wa Mungu ? Yaani juu yake hakuna kutu ...? Au ukuu Mungu kwa nadhalia hizo hazifanani ???asante mada nzuri sana
Kweli mataifa Mengi imetokea, ccm inataka kuliletea taifa mambo ya ajabu,Viongozi wa nchi wajue Sisi wananchi tunaweza kumfuta kazi kiongozi yeyote bila hata KUPITIA sanduku la kura,
Maandamano yamefurusha viongozi wengi tu waliogeuza mifumo ya haki kuwapendelea wao pekee.
Anajua sana ,sema viongozi wengi wa ccm walishawachukulia watz kama mazwazwaSaaa huyu Nchimbimbi anayetoa viapo kwamba kamwe uchaguzi hauwezi kuzuiwa usifanyike hajui nguvu na mamlaka ya umma wa watanzania?
Sasa mtu akikwambia WEWE ni ngombe. Utamuelewa.Watanzania mnajifanya kuwa wepesi wa kupoteza kumbukumbu kwan si tulishaambiwa kuwa katiba ni kakitabu tu kama vitabu vingine vya novels na poems
Sasa muda wa kutumia mamlaka yetu ndio huu,Ili tusiteseke!
UWEZO WA kuzuia uchaguzi upo chini ya wananchi wakiamua kwa pamoja.
Bunge.Bunge, Mahakama na Serikali vyote kwa pamoja vimepewa mamlaka na katiba,
Swali ni hiyo katiba imepewa mamlaka na nani?
Nani ni mwamuzi aliye juu ya yote bunge, Mahakama na Serikali?
Wanajua sana ila sehemu kubwa imetawaliwa na uwoga. Tizama Wasomi wetu wanavyogeuka kuwa Chawa. Yote hayo ni uwoga wa kupoteza mkate.Mada Tamu Sana!
Wananchi wanao uwezo mkubwa sana ambao wao Wenyewe Hawajui kuutumia