asante mada nzuri sanaHellow!
Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo!
1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT?
2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi?
3. Na ikiwa mamlaka ya katiba yetu chanzo chake ni Sisi wananchi , je wananchi wanaweza kuzuia uchaguzi ikiwa watabaini mfumo wa uchaguzi hautendi haki?
Karibuni 🙏
Boss sijui ulikua likizo, si mliambiwa katiba ni kijitabu tu maana yake ni kwamba unaweza ukifuate au usikifuate. NI KIJITABU TU BESTHellow!
Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo!
1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT?
2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi?
3. Na ikiwa mamlaka ya katiba yetu chanzo chake ni Sisi wananchi , je wananchi wanaweza kuzuia uchaguzi ikiwa watabaini mfumo wa uchaguzi hautendi haki?
Karibuni 🙏
Nilishakwambia kuwa,Boss sijui ulikua likizo, si mliambiwa katiba ni kijitabu tu maana yake ni kwamba unaweza ukifuate au usikifuate. NI KIJITABU TU BEST
Bunge, Mahakama na Serikali vyote kwa pamoja vimepewa mamlaka na katiba,Sisi wenzako kipind tunasoma civics wewe ulikuwa unakariri vita vya majimaji, katiba inapewa mamlaka na Bunge.
Wananchi...sio ndio Wamiliki wa nchi na serikali...chaajabu katika wote sisi ndio tunaoteseka.Hellow!
Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo!
1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT?
2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi?
3. Na ikiwa mamlaka ya katiba yetu chanzo chake ni Sisi wananchi , je wananchi wanaweza kuzuia uchaguzi ikiwa watabaini mfumo wa uchaguzi hautendi haki?
Karibuni 🙏
Umesomq Civics ya chini ya Mti niniBunge, Mahakama na Serikali vyote kwa pamoja vimepewa mamlaka na katiba,
Swali ni hiyo katiba imepewa mamlaka na nani?
Nani ni mwamuzi aliye juu ya yote bunge, Mahakama na Serikali?
We, the peopleHellow!
Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo!
1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT?
2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi?
3. Na ikiwa mamlaka ya katiba yetu chanzo chake ni Sisi wananchi , je wananchi wanaweza kuzuia uchaguzi ikiwa watabaini mfumo wa uchaguzi hautendi haki?
Karibuni 🙏
Sasa muda wa kutumia mamlaka yetu ndio huu,Ili tusiteseke!Wananchi...sio ndio Wamiliki wa nchi na serikali...chaajabu katika wote sisi ndio tunaoteseka.
Wenye nchiHellow!
Tukiwa tunatafakari njia Bora kabisa za kuhakikisha tunapata Sanduku la kura lisilonajisiwa, tunapata maswali yafuatayo!
1. Mamlaka ya Rais ameyapata wapi kama SI kutoka kwenye Katiba ya JMT?
2. Na mamlaka yaliyomo ndani ya katiba ya JMT yamepatikana kutoka wapi?
3. Na ikiwa mamlaka ya katiba yetu chanzo chake ni Sisi wananchi , je wananchi wanaweza kuzuia uchaguzi ikiwa watabaini mfumo wa uchaguzi hautendi haki?
Karibuni 🙏
Mada Tamu Sana!Hellow!

Kwani ulipozaliwa,Umesomq Civics ya chini ya Mti nini
Ndugu yangu ,Mayalla kwenye kibunda chako cha Songea ebu nisongeshee laki moja na nitakuombea uwe Mbunge baada ya kufanya reformsasante mada nzuri sana
Huu ni muda sahihi wa Sisi wananchi kutumia UWEZO tulionao kuzuia najisi kwenye sanduku la kura.Mada Tamu Sana!
Wananchi wanao uwezo mkubwa sana ambao wao Wenyewe Hawajui kuutumia
Unaomba rushwa hadharani yaani!Ndugu yangu ,Mayalla kwenye kibunda chako cha Songea ebu nisongeshee laki moja na nitakuombea uwe Mbunge baada ya kufanya reforms
Hapana mkuu wangu wa kazi ,Mimi ni mtumishi wa Bwana nimemuomba kama ndugu sio rushwa mkuuUnaomba rushwa hadharani yaani!
Sasa hao wanaotwambia kuwa hatuwezi kuzuia uchaguzi batili usifanyike wamekunywa pombe aina gani?We, the people