Ikiwa mko kwenye mahusiano au ndoa, na kati yenu moja anachepuka, na ikagundulika, je unapaswa kudeal na mwenzi wako au yule wa nje anae chepuka nae?

Ikiwa mko kwenye mahusiano au ndoa, na kati yenu moja anachepuka, na ikagundulika, je unapaswa kudeal na mwenzi wako au yule wa nje anae chepuka nae?

Mheshimiwa umetmbewa?? 😹
no, sijatendwa na sidhani kama inawezekana..

na alietendwa hawezi kua na akili wala utulivu wa fikra na kuframe swali na kujenga hoja kama nilivyowasilisha kwenye hoja yangu ya msingi..

sahizi angekua analia tu au ana mawazo mengiii hata kuandika meseji au kupokea cm hawezi 🐒
 
Mimi ikifikia suala la mke ninakua mchoyo sana.Siwezi ku-share mke.Kamwe haiwezekani.
jambo la kuamua kua na mke au mume sio lelemama ndrugu zango,

nikuamua kubeba kila aina ya changamoto za maisha ndani ya nyumba na nje ya nyumba..
inahitajika hekima, busara, ustahimilivu, uvumilivu na subra ya kiwango cha juu sana 🐒
 
no, sijatendwa na sidhani kama inawezekana..

na alietendwa hawezi kua na akili wala utulivu wa fikra na kuframe swali na kujenga hoja kama nilivyowasilisha kwenye hoja yangu ya msingi..

sahizi angekua analia tu au ana mawazo mengiii hata kuandika meseji au kupokea cm hawezi 🐒

Wengi wametendewa but they are not yet informed.
Kitu ambacho ni kizuri kutokujua sometimes.
Usitake
Kujua.
 
Nyie vijana wa afu 90 kuja afu 2 msinichekeshe mie.

Kushiriki tendo kwa mwanamke aliye ndoani na mtu tofauti na mumewe ni itahesabika KOSA ikiwa sio makubaliano na mume/mwenza wake lakini ikiwa mwanaume hawezi mbebesha mimba na wameridhiana mimba ipandikizwe na nani basi sio kosa.

NB: Mtu Mume hachepuki, ila huamua ashiriki tendo na nani na nani mbali na mkewe.
 
Back
Top Bottom