Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mimi ikifikia suala la mke ninakua mchoyo sana.Siwezi ku-share mke.Kamwe haiwezekani.ni muhimu zaidi kudeal nae kudhibiti uhalifu huo kuliko kuuacha ukaenda kuumiza wengineo, nawe kwa bahati mbaya ukavuta mwingine ambae ni pasua kichwa zaidi kwenye uchepukaji π
Sawa ila usirudie tenarelax kando bas gentleman π
no, sijatendwa na sidhani kama inawezekana..Mheshimiwa umetmbewa?? πΉ
jambo la kuamua kua na mke au mume sio lelemama ndrugu zango,Mimi ikifikia suala la mke ninakua mchoyo sana.Siwezi ku-share mke.Kamwe haiwezekani.
Usipuuze asili. Hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaumeni muhimu zaidi kuzingatia usawa kwenye kujadili mambo haya ambayo me na ke ni wahusika π
Mimi ikifikia suala la mke ninakua mchoyo sana.Siwezi ku-share mke.Kamwe haiwezekani.
Naam.Lazima kuenenda kwa kanuni.Ili usionekane kuwa mbinafsi inatarajiwa na wewe usichepuke abadani asilani.
Upo?!
no, sijatendwa na sidhani kama inawezekana..
na alietendwa hawezi kua na akili wala utulivu wa fikra na kuframe swali na kujenga hoja kama nilivyowasilisha kwenye hoja yangu ya msingi..
sahizi angekua analia tu au ana mawazo mengiii hata kuandika meseji au kupokea cm hawezi π
Vipi kama huyo anayemfuata Ni mtu mnayefahamiana ndiyo anamtongoza mke wako?ππͺ
sure, wengi hufanya mistake sana kwenye kuamua wa kudeal nae kwakweli π
Mwanamume amewekwa huu ya mwanamke, labda huyo mwanamke akatae kujishushaUsipuuze asili. Hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume
Unaona ni kitu cha kushadadia?Mheshimiwa umetmbewa?? πΉ