Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers.
CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi .
Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja.
Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi.
Natoa mwongozo ufuatao.
Neno Democracy watz 90% hawaelewi maaana yake
Pia 90% ya Watanzania hawana elimu ya uraia
Na 90% ya watz hawajitambu most of them ni eat, sex. Sleep oriented.
So ili uwapate hawa watz 90% ambao ni uncivilized people
Don't speak with them about democracy
Don't speak with them about civil rights.
But speak with them about their own interests.
Mfano :
Vijana graduates -ongea kuhusu ajira
Mama ntilie ongea kuhusu haki zao , mitaji n.k
So tukifanya mambo Kama haya tunaweza kufanikiwa kuiondoa ccm madarakani
Watu wajinga huwa wanaeaza kula , ngono , kulala sasa ili uwapate ongerea interest zao.
Hakuna MTU wa kushindwa kukusapoti ikiwa umeamua kuongea kuhusu maslahi yake.
Ccm kuwa hapo walipo sio kuwa wanalindwa na police au nn ni kuwa wamekosa smart people wa kuwaondoa
Hizi njia wanatumia Chadema , Act , Cuf ni wrong approach